Recent content by goodmother

  1. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Hahaaa! Mimi sitaki Mume wangu afe kwa laana zangu, lakini huwa naiombea michepuko mabaya yawafike, nashukuru Mungu kwa kiasi fulani ni na Amani ya nafsi" na michepuko iliyojifanyaga kuloga ilishindwa, naamini Mungu alisimamia hili na Mume wangu ndiye aliyegundua kuwa mchepuko unamloga, sala kwa...
  2. G

  3. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Nimsifie baada ya kufaa?? Nirudishe urafiki baada ya kufaaa?? Tulisha tupa kule, mke haitaji faraja anatakiwa Ashukuru Mungu, alimfahamu mume wake vilivyo,. Picha ilinirushia mimi mke wake kunionesha jeraha lilivyo na hakurusha bublic.marehemu alikuwa na guts zaidi ya hiyo.so kafariji familia...
  4. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Seki alikuwa mtu wa karibu sana na familia yangu lakini zarau zake na tabia chafu zilifanya tujitenge naye, siwezi tu kuweka picha ya marehemu hapa cos jeraha lake kwa kweli linatisha na kutatanisha pia familia hawatapenda, mume wangu alienda kumwona akanirushia picha.
  5. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Duh pole, huo mchepuko unajiamini sana yaani kutuma picha za mahaba kwenye simu ya mwenye mke, sipati picha. Me kuna mchepuko uliwahi niandikia sms za kashfa, mume kuzioba akamwekea chuma shingoni. Yaani badala ya kukasirika nilipiga vigelegele. Mbona alihama mji, yupo huko jijini kwenu.
  6. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Seki alijitenga na matajiri, kwaajili ya umachknow na kujifanya yupo juu zaidi, ndiyo sababu wote waliokaribu na huu msiba ni wale wa ndiyo tajiri, hakua na ukaribu na matajiri.mabilionea wapo kibao.
  7. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Hahaha umenicha hoi kweli manake, kuna bank hapa town mume alinituma nimefika bulk bank tellar anaanza eti huyu mwenye account ni kaka yako.?? Nikamuuliza unamtaka??? Akaninunia balaa.
  8. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Makongoro alimponza, walikuwa wanawapandia dau.Seki kwa misifa anataka awe juu ya makongoro so anatoa dau kubwa kubwa.
  9. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Mbona hajaumia shingo??? Mwee mjomba anajua siri ya kifo cha marehemu. Amekalia stuli ya kioo, kilivyopasuka kikarukia shingoni au?? Lakini hajaumia shingo.
  10. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    yaani huyu kijana Mungu amrehemu tu, amebadilishwa na pesa alikuwa mpendwa safi, pesa zilivyoanza kuingia mke anakuja kumtembelea weekend, anamwacha anaenda kupandia dau la kulala na machangu, mke anajirudia zake dar, ikafika wakati akagoma kuja kumtembelea.yaani kamvumilia alifanya umalaya wa...
  11. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Hivi kweli umeona jeraha la marehemu alivyochinjwa,?? Kioo cha namna gani kinaweza kumkata mtu kwa stail ile?? Kimemkata kuanzia mwanZo wa ubavu hadi kiunoni kwanza kwa kunyooka me bado najiuliza,!!! Hakikukita bali kimechinja, na inaonekana sehemu nyingine nyuzi zinaachia yaani anashonwa...
  12. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Yaani wewe acha tu nikujishika na Mungu, me kuna mchepuko uliwahi kuniletea watoto eti hapewi matumizi, anaomba msaada apeleke mtoto hospital. Mume akaniambia msaidie kama unataka nilimalizana naye siku aliyonipa k, lakini ananiganda. Duh nikabaki na hasira huku namwonea mtoto mgonjwa huruma...
  13. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Ni kumwomba Mungu tu, manake mwanaume wa peke yako sidhani kama yupo, mimi nashukuru Mungu wangu siyo muhongaji, cos michepuko huwa inalalamika,. Nikuomba uvumilivu ili tulee watoto, dunia ya leo ndoa zinachangamoto sana, wakati mwingine huwa naangalia wanangu naishi tu kumwaga machozi na...
  14. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Inaelekea ulikubali kuwa chini yake, cos Seki ili uwe karibu yake ilikuwa lazima ujishushe, kila kitu ni ndiyo ndiyo. Ukimpinga anaanza kujitenga alikuwa anasonona flan hivi, akawa anajitenga na Matajiri, anatafuta watu watakaomwona wa juu.apumzike kwa Amani.
  15. G

    Lulu (Elizabeth Michael) awaogopa Wachawi kumtaja aliyemtundika Ujauzito wake

    Wala bidada hakuwa na makeke, amejishika na ajira yake, anamwacha mume ale ujana lakini ndiyo hivyoo Mungu kaamua yake.
Back
Top Bottom