Samuya anapingwa na kila mwenye akili timamu, hatoshi kbs kwwnye urais...hata Lipumba (muislam mwenzake tena Prof) kasema majuzi kwamba ANAPWAYA PWAYA!.
Kabisa mkuu, au eti polisi wanakupa ripoti waandamanaji wametoka sijui wapi kuja kuandamana Tz...na wewe bila tafakuri kwamba inawezekanaje hilo kutokea unatoka kuja kwa public kutuambia watz juu ya ujinga huo!
Polisi hawahawa waliosomea elimu ya mafriji kisha wakawa wataalam wa picha mtandaoni!!.
Wazo zuri, swali dogo...hivi tofauti kati ya mtu 'aliyetoweka' na 'hapatikani' ni ipi mkuu?.
Nafikiri angechagua neno moja hususani ametoweka ili isichanganye watu.
Samuya ni dhaifu sana ndio maana akafanyiwa mpango asipate mpinzani wa maana kwenye uchafuzi mkuu, hata hivyo bado wananchi wengi wakamsusia kwa kutotoka kwenda kupiga kura!
Kuthibitisha uwezo mdg wa akili ya samuya tume ikamdanganya eti kapigiwa kura na jumla ya watu ml 32 naye akakenua meno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.