Recent content by goodluck mtura

  1. G

    JamiiForums Tanzania KERO Polisi Nyegezi wanakamata wateja katika ofisi zetu za Betting

    Askari polisi kituo cha Nyegezi kushirikiana na mgambo wanakamata wateja wetu katika ofisini zetu za Nyegezi, Buhongwa Mkuyuni, licha ya kulipa mapato yote ya serikali, hii ni halali? Wakiwakamata wanawapa kosa la kucheza kamali, je betting ni kamali? Mbona tunakata lesseni na tunalipia TRA?
Back
Top Bottom