Recent content by Goodchance

  1. G

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

    +971554157299
  2. G

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

    Kweli kaka kwa njia ya dar Tra ni tatizo. Nitakubaliana na mteja baada ya kucalculate gharama zote na yeye akajua.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

    Easy sana kwa mizigo midogo kuna agent ambae anasafirisha kwa njia ya ndege ambayo ndo fatest way lakini ni expensive kidogo. Otherwise kwa mizigo ambayo ni mizito naituma kwa sea cargo
  4. G

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

    Safi mkuu kwa kunijua. One love
  5. G

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

    So far kuna dada yangu ana duka lake kariakoo la nguo za wanawake. Naweza kumtumia kama mdhamini kwa mtu anaetaka mzigo flani baada ya kudiscusa juu ya gharama za kununua na kutuma. Naweza kumpa namba ya huyo ili awe link between na pia kumpa imani mtu anaetaka bidhaa flani.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

    Inawezekana kabisa...hata me plans zangu nikujilita kwenye biashara ya kununua mzigo na kutuma Dar as well as kuchukua order za watu na kuwatumia. Tatizo ni uaminifu na mtaji. Uaminifu kwa maana hii kama mtu anataka mzigo flani na hatujuani ntumekutana huku kwenye mitandao ya kijamii je...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

    Kuhusu bei ya vitu kama simu, tablets, memory cards n flash inategemea na aina na specifications. +971554157299 nicheki whatsapp kwa msaada zaidi
  8. G

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

    Ukinunua mzigo ukiwaachia hotel name na room number wanakufikishia mzigo wako salama kabisa. Mizigo yako yote unaweza kuiifadhi hotelini hadi siku unayoondoka ukachukua tax hadi airport
  9. G

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

    Maduka hayo yako sehemu inaitwa Naif. Ukifika airport ukiongea na tax driver anakuleta Naif unatafuta hotel ila ukiwa na mwenyeji ndo rahisi zaidi atakusaidia ku book hotel na kukutembeza madukani.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

    Kuna eneo serikali limelitenga kwa ajili ya makanisa and kuna makanisa ya mataifa mbali mbali. So kuhusu Ibada ya kikristo sio tatizo huku.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

    Kaka kwa raw materials za ku export huku sijawa mzoefu na hilo.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

    +971554157299 Namba yangu unaweza kunicheki whatsapp kwa msaada zaidi
  13. G

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

    Kama walivyosema wengine kuna mtaa unaitwa city of gold hapo wanauza gemstone za aina mbali mbali na kununua pia.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

    Asante kaka kwa kuendelea kuwapa more info. Please andelea kusaidia maana mm sio mwenyeji sana
  15. G

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

    Ulishawahi kufanya before? Au unafanya? Kama unafanya unaweza kuniagiza nijaribu kufanya research ya price huku then nikutajie then upime
Back
Top Bottom