Embu tuoneshe hapa kwa ushahidi yakinifu ili tuweze ku-substantiate hayo madai yako...yakua ati hao ulowaita Wanawake wa kizungu ndo siku hizi "wamepawa na ngono"!? Daah!
Hizi blankent statements/comment zako ni madhara makubwa mno kwa Wazazi wako...kama bado hawajafa kwa karaha ya kuzaa...
Mkuu Udadisi,
Nimekusoma na pia nakubalina nawe kwa hoja/wazo hilo!
Nafikiri hivi sasa ni wakti muafaka umefika kwa Serikali yetu nayo kujifunza na kujaribu kuonyesha nia na dhamira za kuwaenzi na kuwathamini Wanataaluma wetu khasa Historians!?
Pia viongozi/wanasiasa wetu ifikie wakti...
Mkuu Ritz,
Nimekusoma na kukufahamu kwa utuvu ulo mwingi mno!
Ndo kwanza leo nimerejea humu-JF na nyoote ndo napitia posts zenu...yaani hii mipini yenu ni khatari! Duuh!
Unanuliza mie kwanini ati magalatia woote wamengia mitini hapa jamvini!?...sasa nyie mmemwaga hizo WMD's,sasa ndo...
Wakti yule haramia Nyerere anaumwa taabani na kujiharishia kitandani pale London...je nae ulimpelekea hiyo card ya "get well soon"!?
Kama huna hoja kaa kando...kashfa na kebehi zako hazitokusaidia,Ok!?
Sidhani kama hii post yako inakhusu hapa!?
Kwanini usipeleke kule jukwaa la udini kujiunga na yule mnyama mwanzio Ishmael/Schiendler aka MaxShimba!¿ Daah!
Mkuu Ritz,
Nakusoma na tuko pamoja!
Hata hivyo nakhis umengia katika mtego wa huyo "msomi" aka kilaza wa kigalatia ajiitae fundi mchundo!
Yaani lazim ufahamu yakua huyo msukule na kenge wanzie takriban woote hawana uwezo wala nia ya kufanza mjadala walaa kuzungumzia kimantiki hii mada...
Mkuu,
Hao watawala,kama wakiamua kuruhusu history ya kweli izungumzwe/isomeshwe...ina maana wao watakuwa wamevuliwa nguo na kubaki watupu,mchana kweupe!
Kwa kifupi,kama historia ya kweli ikielezwa basi hata ile myth tuliyonayo juu ya yule "Baba wa Taifa" na wafuasi wake/watawala wangine...
Mkuu Udadisi,
Nakusoma na pia nakufuatiza katika hizi jitihada zako za kujaribu kuleta maboresho katika andiko/kitabu hicho cha Maalim Mohamed Said!
Utakapofikia tamati,mie binafsi tajaribu kumtumia/kumpelekea yeye Maalim Mohamed Said haya masuali kwa mkono!
Nina hakika pindi akipata...
Mkuu,
Inatakiwa umsome kiundani/between the lines, ili kumfahamu uzuri Maalim Mohamed Said!
Yeye anatumia pia elements za tamthilia simulizi na nakshi kadhaa za lugha ili kupambia/kukazia hoja zake...lakini bila ya kupindisha kile alichokusudia kukisema/theme!
Sasa,tatizo ni ya kwamba...
Wee mtoto!
Nani alokufunda kuita Watu Wazima/Wazee hapa jamvini ati young man!?
Ule uchochezi wa kafiri Lukuvi uliukemea!? Au umeona huu tu!? Ebo!
No one is advocating violence and/or physical force here!
So,STOP exaggerate things! Ok!?
Mkuu,
Hiyo statement yako ni woga uliofungamana na upotoshaji!? Daah!
Hakuna kitu kama hicho katika imani ya Kiislam Mkuu!
Nakuhakikishia yakua Waislam...kama hawajachokozwa au kunyimwa haki zao za msingi...ni watu waadilifu mno!
Labda weye unazungumzia ile topic ndefu mno na very...
Mkuu,
Hivi una ujamaa wowote na wale akina Mutakyahwa!?
Nawatafuta hawa jamaa saana tu! Walikua ni majirani zetu tuliishi nao vizuri mno na tukipendana/tukihishiana mno!
Hata hivyo,kitambo kingi kimepita na nalipoteza contact details zao!? Daah!
Kama utapata taarifa zozote naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.