Recent content by Golobeja

  1. G

    JamiiForums Tanzania The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

    Sasa kwanini tusifungue kesi ili watulipe Kwa kutuchafua kimataifa?
  2. G

    JamiiForums Tanzania Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?

    Ukikosa uteuzi awamu hii naacha kutumia mitandao yote
  3. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA wakipata Wabunge zaidi ya watatu tuwapongeze

    Kwasasa huna akili kabisa P naona umezeeka ubongo
  4. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu

    Na wewe ndiye mwamndishi wa Kwanza kuwa Afisa kipenyo sio?
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mayai ya kisasa

    Bado unahitaji
  6. G

    JamiiForums Tanzania WanaJamiiForums tumeonyesha Ubinafsi wetu kwa Pascal Mayalla, tumeshindwa kumpigania kwa kumpamba

    Wewe pia ni mnafiki kama Paskali dah!
  7. G

    JamiiForums Tanzania WanaJamiiForums tumeonyesha Ubinafsi wetu kwa Pascal Mayalla, tumeshindwa kumpigania kwa kumpamba

    Paskali mbona alishabadilika kitambo
  8. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

    Paskali karibu CHAUMA upate ubwabwa kuku nilijua huwezi kushinda CCM ukiwa na njaa
  9. G

    JamiiForums Tanzania Tunaposhangaa wanaotuongoza hawajatufikisha tunapohitaji tuwe makini sana, tusije tukawa tunajipinga wenyewe

    Tuache kusingizia mabeberu tufanye kazi na kuielewa dunia ya sasa ni kutumia akili hakuna anelazimishwa kitu
  10. G

    JamiiForums Tanzania Tunaposhangaa wanaotuongoza hawajatufikisha tunapohitaji tuwe makini sana, tusije tukawa tunajipinga wenyewe

    Unataka kusemaje kwani? Umaskini wa mtu mweusi tusimpe lawama mtu mweupe unasababishwa na sisi wenyewe amabao wengi wetu ni wavivu hatujitambui hatuna uaminifu na tunapenda starehe sana
  11. G

    JamiiForums Tanzania Chadema wanazidi kuonyesha ukomavu

    Kama kawaida naendelea kupambanua hali ya mchuano na mtifuano mkali katika medani za siasa hasa katika kipindi hiki muhimu sana. Wakati Tundu Lissu aliyepewa jina la mbeba maono akichangisha pesa ya kuchukua fomu huko mitandaoni,nguli wa siasa zisizo umiza Lazaro Nyarundu anaelekea Mwanza...
  12. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA waendelea kuzichanga karata vyema

    Kama kawaida naendelea kupambanua hali ya mchuano na mtifuano mkali katika medani za siasa hasa katika kipindi hiki muhimu sana. Wakati Tundu Lissu aliyepewa jina la mbeba maono akichangisha pesa ya kuchukua fomu huko mitandaoni,nguli wa siasa zisizo umiza Lazaro Nyarundu anaelekea Mwanza...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Serikali ijayo itafuata " kikamilifu" itikadi ya Ujamaa na Kujitegemezi. Je, CCM kuna vijana wazalendo wa kumsaidia Rais Magufuli?

    Ujamaaa unaouzungumzia ni upi?huu wa kuwapa familia moja ubunge wa viti maalumu baba mama na mtoto au?
  14. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA karata wamezichanga vizuri

    Tatizo sio marekani tatizo ni sisi wenyewe mafisadi ni watanzania mambo ya simbioni na IPTL tusilaumu marekani
Back
Top Bottom