Recent content by goldie ink

 1. goldie ink

  Kuwekwe sheria ya ndoa ya mkataba kwa wanaohitaji kufunga ndoa hizo

  Umeona nini au umewahi siti. [emoji23]
 2. goldie ink

  Kuwekwe sheria ya ndoa ya mkataba kwa wanaohitaji kufunga ndoa hizo

  Hali itakuwa freshi mbona, ni mwendo wa kuoa na kuachika. [emoji23] [emoji23]
 3. goldie ink

  Wanaume jamani naomba mtuache tupumue basi

  " Tuwaache mpumue " [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 4. goldie ink

  Kwa wale ambao waliwapa second chance wapenzi wao ambao waliwasaliti, kwanini ulimsamehe?

  Tulia wewe.... [emoji23] [emoji23] [emoji102] [emoji48] [emoji375]
 5. goldie ink

  Kaniomba nimsindikize kwake alichonifanyia sitasahau

  Mimi siyo engineer wala fundi hivyo hatuwezi kuyajenga mkuu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 6. goldie ink

  Wapenzi wangu wa zamani wamepigwa na bwana zao, wote wamejikuta wapo kwangu usiku wa manane

  Nunua sumu uwape life is simple no complicated. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 7. goldie ink

  Kuwekwe sheria ya ndoa ya mkataba kwa wanaohitaji kufunga ndoa hizo

  Miaka ya hivi karibu kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake wa kitanzania kuhitaji kuolewa na kuishi na mwanaume ampendaye kwa dhati, hakika hiyo ni ndoto kwa kila mwanamke wa kitanzania, lakini imekuwa kinyume chake pengine maisha na mazingira hubadilika katika zama tofauti, ila wahenga walinena...
 8. goldie ink

  Mpangaji aliyehamia anaanika chupi zake nje ananitesa

  Ongea na mwenye nyumba. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 9. goldie ink

  Kwa wale ambao waliwapa second chance wapenzi wao ambao waliwasaliti, kwanini ulimsamehe?

  Kuna mjinga mmoja hapa kanisaliti ila kasafiri nasubiri arudi nimtoe outing pale kariakoo halafu naita MWIZIIIIIIII MWIZIIIIIIII.... nasepa taratibu huku nikiona raia wanafanya yao. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji375]
 10. goldie ink

  Mliowahi ku-date/kuoa/kuolewa na wazungu let's share changamoto mlizokutana nazo. Au ni kama wabongo tu?

  Julieth millen msaliti mkubwa weeeee malayaaa sana weeee Huyu ni mzungu wa uingereza nilidate naye mwaka 2013 - 2016. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 11. goldie ink

  Wanaume wa siku hizi hawajui kupigana kabisa

  THE KOMMON MAN part 2. Soma hii play. [emoji23] [emoji23] [emoji23] umekopi kwenye hii play halafu unatranslate kwa kiswahili. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 12. goldie ink

  Kaniomba nimsindikize kwake alichonifanyia sitasahau

  Ukimwi ni kama typhoid tu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 13. goldie ink

  Kaniomba nimsindikize kwake alichonifanyia sitasahau

  Alitumia mbele au nyuma. [emoji23] [emoji23]
 14. goldie ink

  Kaniomba nimsindikize kwake alichonifanyia sitasahau

  Nandy umetoka na melody, ngoja bill nenga asikie hili suala. Ninogeshe umefanya vyema kwa kweli... Ijumaa njoo studio tufanye kolabo. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uje uninogeshe. [emoji23]
Top Bottom