Recent content by Goldenboy24

  1. G

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta kazi nina Elimu ya Certificate in Community health

    Nimekutumia Pm mkuu asante
  2. G

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta kazi nina Elimu ya Certificate in Community health

    Habarini wakuu kama kichwa cha habari kinavosema mimi ni kijana mwenye miaka 22 nimesoma hadi ngazi ya certificate in community health Natafuta kazi katika mashirika binafsi (NGO) yanayoshughulikia masuala ya kijamii hata Kwa kujitolea kwa ujumla naweza fanya kazi kama social worker pia...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Asante sana Kwa ufafanuzi kama Mungu alipanga twende tutaenda Kwa uweza wake 🙏🙏😥
  4. G

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Daah kumbe inshu ipo hivi basi hapa maombi yanahitajika snaa maana watu tulia min hii sehem yakulitumikia jeshi letu kama kweli Mungu alipanga basi tutakwenda Amen🙏🙏
  5. G

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Yaap niliona juzi
  6. G

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Yaah namaanisha polisi kuna ambao tulifanya usahili mwezi wa 10 mwishon mpka leo majina hakuna
  7. G

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Daah kuna wale wa PT wa online naona kama tumekatwa vichwa aisee sielew kabsaa hapa
  8. G

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Hongera sana Mzee kila Uzi ulikuw active kuanzia PT,UT,ZM sasa umeitwa haya kila la kheri
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Tupieni lonja ya polisi wazee hasa wale wa online😢😢
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hawa polisi hawaelewek kabsaa
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Shamba linahusika Mzee baba mm nawaachia mji narud bush kupambana na matikiti😂
  12. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Daah nchi ngumu sana hii 😂😂
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Tuendelee na kilimo cha matikiti tu Hali sio Hali 😂😂😂
  14. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mzee na ww ulifanya usahili wa fani?
  15. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Duuuh Duuuh hatari sana labda watakuwa na list nyingne tusubr
Back
Top Bottom