Recent content by Golden Elimeleck

  1. Golden Elimeleck

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania mpya: Kutumia teknolojia ya Blockchain kukabiliana na Ufisadi serikalini na TRA

    Ingawa blockchain inahusishwa sana na sarafu za kidijitali yaani cryptocurrency lakini pia kutumika kusimamia miamala inayohusisha sarafu za kawaida yaani tsh kwa njia salama na yenye uwazi ambapo muamala ya fedha hauwezi kuruhusu utumaji wa pesa kwenda account binafsi (fixed account).
Back
Top Bottom