Recent content by Godwin6

  1. G

    JamiiForums Changamoto za Usimamizi wa Bidhaa (Inventory) kwa Wafanyabiashara

    Habari wana JF! Kwa wale wafanyabiashara humu ndani, ningependa kujua: Kwa sasa mnatumia mbinu gani kusimamia bidhaa zenu (Inventory), kuanzia bidhaa zinapoingia hadi zinapouzwa? Ni changamoto gani kubwa mnayokutana nayo katika mchakato huo, na kwa mtazamo wenu, mnadhani ni mbinu au mfumo...
Back
Top Bottom