Wanasheria walioko humu, naombeni kujua kama garama za kuendesha kesi inaweza ikafikia kiasi hiki wanachokiomba hawa jamaa (Tsh 50bn/-). Hii siyo mbinu ya kuikwamisha kesi?
SAKATA la malipo ya Dola za Kimarekani 168, 800,063 (takribani 400bn / -) dhidi ya kampuni mbili za Kitanzania limechukua sura mpya mara baada ya kampuni hizo kugeuza kibao na kutaka benki mbili za Standard Chartered kuweka dhamana mahakamani ya shilingi billioni 50.
Kampuni hizo, Independent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.