Recent content by Godwin mgunda

  1. Godwin mgunda

    Njombe forest plantation

    Ni maamuzi tu ila parachichi inahitaji uwangalizi wa hali ya juu sana
  2. Godwin mgunda

    Njombe forest plantation

    kupima na GPS Na hati inaweza fika laki nne
  3. Godwin mgunda

    Njombe forest plantation

    kuanzia miaka saba unaweza kuanza kuvuna.
  4. Godwin mgunda

    Njombe forest plantation

    Tunakuunganisha na serikali kwa taratibu za hati malipo yanamuhusu mnunuzi, gharama za usimaizi wa shamba inategemea na idadi ya eka ila eka moja ni sh elfu sabini kwa mwaka.
  5. Godwin mgunda

    Njombe forest plantation

    Ofisi zipo njombe mjini mtaa wa matarawe kwa mawasiliano piga 0759431764 0654317171 Email njombeforestplatation@gmail.com
  6. Godwin mgunda

    Njombe forest plantation

    SHAMBA, 180,000 MICHE MICHE 600 60,000 KUPANDA NA KUSAFISHA SHAMBA 100,000 NJIA ZA MOTO 60,000 JUMLA SH 400,000
  7. Godwin mgunda

    Njombe forest plantation

    Tunapatikana njombe mjini hata eka moja unatafutiwa.
  8. Godwin mgunda

    Njombe forest plantation

    NJOMBE FOREST PLANTATION PANDA MITI YA MBAO UNUFAIKE. Kilimo cha miti kimepata umaarufu wa ghafla miaka ya hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ongezeko la mahitaji ya mazao ya miti na Katika Tanzania mikoa ya Njombe na ni moja ya mikoa maarufu inayoongoza kwa misitu mikubwa ya...
Back
Top Bottom