Recent content by godlove890

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mnyika kutikisa Handeni Leo

    Hapa Kazi wakati Munalia wenyewe maficm, Mnajing'ata wenyewe!
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nina hakika hili baraza halikuwa chaguo la Mheshimiwa JPM

    Unahitaji DAWA we we. Eti watu Watambue Muhongo hakuhusika na Escrow, Hivi wrwe Una akiki au ni kichaa?
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yampa ushindi Baba wa Mawazo, Mawazo kuagwa na kuzikwa kwa heshima zote

    Hapa Kazi Itawatafuna nyie wenyewe MAccm. Nyongo yenu wenyewe Mtaila Wenyewe!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Majimbo ambayo CCM wameyapoteza mpaka sasa

    Mwanga -Chadema; Moshi mjini -Chadema.
  5. G

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais Kikwete azindua Uwanja wa Ndege za kivita Morogoro; Mkuu wa Majeshi ahudhuria

    Huyo kijans si kapata umaarufu kajulikana.diyo wewe unayekula chawa wakati wakubwa wako mafisiem wanakula bata.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Naipa Serikali Siku 7, kama Mkuu wa Majeshi hatajitokeza...

    KA CDF Mwamunyange yupo hai mbona YULE KIJANA MULIYEMNG,ANG'ANIA MBONA ALIVYOSEMA HAKANUSHI HABARI ALIYOWEKA MTANDAONI MUMEKAA KIMYA, MBONA HAJASHITAKIWA. THERE IS SOMETHING WHICH WAS HIDDEN. TUTAJUA TU.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Ameonekana huyo davis mwamunyange au uhuni tu?
  8. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Oooh Deo. Mimi NI chadema.Ila hata sisi tumeuMIA SANA KWANI KIJANA HUYU ALIKUWA MPAMBANAJI SANA HADI CDM Walipata kigugumizi ktk Eneo hili. ALIFANYA KAZI SANA. May GOD Rest him in PEACE.AMEN. POLENI SANA WATANZANIA.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Ni SAA 4.00 Usiku sasa; Hatumuoni wala kusikia MEAMUNYANGE KUwasili.THERE IS SOMETHING WHICH WAS HIDDEN.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Jamani hili swala ni kubwa sana. Serikali isipuuze. Ukweli ukijulikana itakuwa too late kwa maCCM. Hata hivyo hii scandalvinawaharibia sana CCM.
  11. G

    JamiiForums Tanzania UKAWA na watanzania: Mmeshajiuliza kwanini Lowassa alikatwa CCM?

    Wewe ndo hufai. Ccm wanafahamu msendeleo au ni wizi tu. Aliyekutuma mwambie sijawakuta. Sisi ni lowassa tu. Unye, uharishe utajua mwenyewe!
  12. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda amefariki dunia

    Hatujamsikia akimsema RsAISi wETu LOWASSA. AIBU KWA SERIKALI TU EANAZIDI KUUMBUKA KUPELEKA VIONGOZI HOSPITAL NNJE WAKATI.HUKU HATUNA HATA ASPRIN. A PUMPUMZIKE KWA AMANI.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Magufuli yupo wapi

    Anapumzikaje na nnasema ni Tingatinga. Je Tinga huwa linachoka? Yeye mmesema pua siyo mgonjwa je mtu mkakamavu mna PushUp kibao huwa anachoka? ACHENI KUTUSANUFU.VUMILIENI DAWA IWAINGIE.!
  14. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa, Musoma mjini - Oktoba 11, 2015

    Rais. Rais. Rais. Rais!
Back
Top Bottom