Recent content by Godfrey Msafiri

  1. G

    JamiiForums Tanzania Depression inanimaliza, sina muda mrefu wa kuishi

    Pole sana ndugu Kwa kipindi kigumu unachopitia. Am a Medical Doctor 💊 by professional Nichek inbox Kwa msaada zaidi. Mwenyezi Mungu akubariki.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wapi kunawadau wa Mchezo wa CHESS Mwanza?

    Natumia jina la GodfreyMsafiri Karbu sana tupo wabongo wengi tu tunawakilisha Taifa. Waweza cheza na mtu yeyote duniani Ni free kujisajiri then bundle lako tu na inategemea umeweka option ipi ya time na opponent wako coz waweza cheza game moja na mtu hata week nzima. Na waweza cheza na zaid ya...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wapi kunawadau wa Mchezo wa CHESS Mwanza?

    Nakumbuka nkiwa chuo nlicheza sana Chess na wana, baada ya kumaliza chuo nakupoteana Siku Hizi ni Full kucheza Online Kupitia chess.com Karibuni sana kwa mlio interested GodfreyMsafiri ~ chess.com
  4. G

    JamiiForums Tanzania SoC02 Aibu zetu, vilio vyetu

    Pongezi nyingi na Hongera Sana kwako Dada. Natumaini vijana wenzangu wengi wasomi watakaosoma story yako watapata kitu chakujifunza. Mungu azidi kukubariki
Back
Top Bottom