Recent content by Godfrey- denis

  1. Godfrey- denis

    Ielewe biashara ya benki (Banking business model) — kwa wawekezaji wanawekeza sekta ya benki kwenye soko la hisa

    Sekta ya benki ni mojawapo ya sekta zinazofanya vizuri katika Dar es Salaam Stock Exchange ikiwa na taasisi kama CRDB Bank Plc, NMB Bank Plc, MKCB, MBP na DCB Commercial Bank Plc. Lakini pia ni sekta inayosimamiwa kwa ukaribu mkubwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kwa sababu inahusisha fedha za...
  2. Godfrey- denis

    Gawio kwa wanahisawa NICOL

    Kuna utaratibu wa kufata, wasiliana na aliyekuwa broker wake au wasiliana na CSDR — muhimu zaidi fika ofisi za DSE wakupe maelekezo.
  3. Godfrey- denis

    Mfuko wa uwekezaji wa pamoja uliofanya vizuri zaidi 2024/2025 – iGrowth Fund (iTrust Finance)

    Kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2024/2025, iGrowth Fund umeonekana kuwa miongoni mwa mifuko iliyofanya vizuri zaidi sokoni. Ukuaji wa Thamani ya Kipande (NAV) ✓ Tarehe ya kuanzishwa: 03 Desemba 2024 ✓ Thamani ya kipande ilipoanza: TZS 100 ✓ Thamani ya sasa ya kipande: TZS 138.1709 ✓ Ongezeko la...
  4. Godfrey- denis

    Viashiria vya msingi vya kuzingatia kabla ya kununua hisa za kampuni husika

    Moja ya swali muhimu la kujiuliza ni: “Nawezaje kuchagua kampuni bora ya kuwekeza?” Leo tuzungumzie qualitative fundamental factors ambazo ni muhimu sana kwa wawekezaji wa muda mrefu wanaotaka kupata ongezeko la thamani na pia magawio. Elewa Biashara ya Kampuni Wekeza tu pale unapofahamu...
  5. Godfrey- denis

    Kampuni zilizowapa wawekezaji ongezeko kubwa la mtaji kwenye soko la hisa ndani ya miezi minane kutoka January 2025

    Moja ya faida kubwa ya kuwekeza kwenye soko la hisa ni ongezeko la mtaji (capital gain). Hii hutokea pale ambapo bei ya hisa unazozimiliki inapanda kuliko bei uliyozinunulia, na hivyo kuongezeka kwa thamani ya uwekezaji wako. Picha hapo juu inaonyesha mfano halisi wa makampuni 10 yaliyoongoza...
  6. Godfrey- denis

    Je, wewe kama muwekezaji kwenye soko la hisa unafahamu maana ya return on equity (roe)?:twende pamoja 👇

    Pamoja 🤝, kuna thread nilielezea hii ETF - kwa ufupi pitia hizi video ili upate mwanga: ■ https://www.instagram.com/reel/DNaliE3Pz4w/?igsh=aDcxb2VheW1saXBq https://youtu.be/txoCXXjYCsA?feature=shared
  7. Godfrey- denis

    Maswali muhimu ya kujiuliza kabla ya kuwekeza kwenye masoko ya fedha na mtaji

    MASWALI MUHIMU YA KUJIULIZA KABLA YA KUWEKEZA. 🔁 Kumbuka: Katika somo lililopita tuliongelea tarehe muhimu za kuzingatia wakati wa gawio. Siku ya leo tutaangazia maswali muhimu ambayo inabidi ujiulize kabla ya kuwekeza. Unajiuliza lini uanze kuwekeza? Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza, kuna...
  8. Godfrey- denis

    Je, wewe kama muwekezaji kwenye soko la hisa unafahamu maana ya return on equity (roe)?:twende pamoja 👇

    🔑 RETURN ON EQUITY (ROE) 👉 ROE ni kipimo kinachoonesha uwezo wa kampuni kutumia mtaji wa wanahisa (shareholders’ equity) kutengeneza faida. Kwa lugha rahisi, ni kipimo kinachojibu swali: “Kila shilingi moja iliyowekezwa na wanahisa, kampuni inaleta faida kiasi gani?” 📌 Jinsi ya kuipata ROE...
  9. Godfrey- denis

    Gawio kwa wanahisawa NICOL

    Jaribu kuwasiliana na DSE watweza kukusaidia kupata taarifa zako.
  10. Godfrey- denis

    Je, unalenga nini katika uwekezaji wako kwenye soko la hisa: Ongezeko la mtaji (Capital Gain) au Gawio (Dividends)?

    Je, unalenga nini katika uwekezaji wako: Ongezeko la mtaji (Capital Gain) au Gawio (Dividends)? Watu wengi huingia kwenye soko la hisa bila kuwa na malengo ya wazi. Lakini ukweli ni kwamba malengo yako ndiyo dira ya uwekezaji wako. Kabla hujaweka hela yako, jiulize: Nataka kupata faida kwa njia...
  11. Godfrey- denis

    Gawio kwa wanahisawa NICOL

    Sawa, ukipata changamoto utanicheck.
  12. Godfrey- denis

    Gawio kwa wanahisawa NICOL

    Hisa zako bado zipo - tafuta CDS number yako (utaipata kwenye cheti chako cha mwanahisi, natumaini utakuwa nacho kwa sababu huko nyuma walikuwa wanatoa vyeti ila kwa sasa kila kitu kipo Digital). Ukipata CDS, wasiliana na DSE au broker yoyote upate access ya DSE hisa kiganjani na pia ujaze form...
Back
Top Bottom