Recent content by Gocha the hero

  1. Gocha the hero

    Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Kwahiyo una sema Mungu Hana outcomes Nimekwembia hivi Mungu yupo kwasababu kanitendea MIUJIZA hiyo ndo outcomes Kwanini Una amini upepo upo? Si kwasababu ya outcomes Lakin kumbuka upepo hauinekani Wala haushikiki Kama una amini outcomes za upepo kwann usiamini out comes za Mungu?? Sent from...
  2. Gocha the hero

    Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Mungu ana Mwili?? Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
  3. Gocha the hero

    Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Yele yalee Eti Mungu kachoka nioneshe sehemu ambayo Mungu Wana sema kachoka Soma Biblia vizur Nenda kasome mwanzo 2:1-3 Alaf ujijibu mwenyewe Maswali mingine ni ujinga tuu wakuto kusoma Bible Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
  4. Gocha the hero

    Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Etii Mungu hayupooo kwasababu 1:uwepo wamabaya duniani 2:Dunia hipo hivi kwahiyo Mungu hayupo Alaf kwasababu hizo mbili Kabisa unadiriki kumkufuru Mungu Alaf una niambia Biblia umesoma yoteee Wakati Biblia sehemu nyingi Sana inaelezea hata siku za mwisho zitakavyo kua jinsi mabaya yatakavyo...
  5. Gocha the hero

    Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Sema tuu vigezo vyako ambavyo WEWE binafsi ukiviona utaamini Mungu yupo Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
  6. Gocha the hero

    Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    All in all Naomba utoe vigezo vyako ambavyo WEWE binafsi ukiviona utaamini Mungu yupo Me nilisha kwambia vigezo vyangu vinavyofanya ni nasema Mungu yupo In addition Uwepo wa UCHAWI na USHIRIKINA Tuu una Thibitisha Mungu yupoo Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
  7. Gocha the hero

    Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Miongoni mwa sifa soma waebrania 12:14 Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
  8. Gocha the hero

    Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Yani umesoma Biblia kinaga ubaga alafu una niuliza tena watu wanao enda mbinguni watu gan?? Sema ukwelii tu me mwenyewe nimesoma mwanzon mpaka ufunuo lakin naamini kwamba cjui kila kituu Vp baadhi ambavyo sijavijua Lakin cio vitu common kama hivyo Sent from my itel L5007 using JamiiForums...
  9. Gocha the hero

    Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Shida yenu nyie watu nimoja Inaonesha Biblia hamja soma kabisa Kama mmesoma Basi juu juu tuuu na kwakutumia akilizenu huku mkiwa na nia yakuikosoa Biblia tuu Kitu ulicho kiongea Ukikutana na Mkristo jina Ataamini atasema alaf kweli(Kuna mwalimu wetu ana penda Sana hiyo kauli yakoo) Lakin...
  10. Gocha the hero

    Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Kumbe hata maana ya Roho ujui Alaf una bishaa tuuu Ilo swali la PILI Sasa Ndo nazidi kujua kua unabisha usivyo vijua unavisikia tuuu Yani Mtu Ana kwambia asali tamu We unataka mtu akuelezee utamu wa asali una pewa ulambe hautakii Haya zamu Yangu Sasa Naomba uniaminishe kwanini Mungu...
  11. Gocha the hero

    Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Msicho kujua Mungu jamlazimishi Mtu kutenda jambo lolote lile Lakin kwenye KUTOKA Kuna sehemu anasema Tazama nimekuekea mbeleyako njia mbili kulia na kushoto ... Kwahiyo ni Kaz ya Mtu kuchagua jema au baya Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
  12. Gocha the hero

    Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Mimi tangu niamze kusoma Biblia sehemu pekee ambayo Nimeona Mungu kajionesha sura yake ni KUTOKA 33:11 Wengine wote walikua wanasikia sauti ya MUNGU ila sio kumuona macho kwa macho Sasa Mwenzangu ulie Soma bible ikasomeka niambie niwapi kati ya hao ulio wataja alimuona Mungu uso kwa uso...
  13. Gocha the hero

    Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Naomba rafiki Uniambie mfano wa vitu au kitu ambacho ukiambiwa na mtuu Utaamini ww kwakuambiwa Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
  14. Gocha the hero

    Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Dhaa ila nyie watuu.... Nahisi Mana ya MUNGU itakua sijui mlielewaje MUNGU ni nani Kwanza ?? Maana unauliza maswali kama mtu ambaye sijui nisemaje Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
  15. Gocha the hero

    Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Mwana Damu pekee aliye fanikiwa kumuona Mungu uso kwa uso ni MUSA pekee Namwenginevatakaye muona atakufaa hata ishiii Soma KUTOKA 33 yote hasa mstar wa 11 na 20 Najua mistari hiyo hauta weza kuielewa kwasababu una jaribu kusoma Biblia kama Phyisics Maana: Kumuona Mungu uso kwa uso maana yake...
Back
Top Bottom