Recent content by gnd

  1. G

    Natafuta fundi wa Pajero Min, Arusha

    Shukrani mkuu Nimebadili plugs na Gearbox
  2. G

    Natafuta fundi wa Pajero Min, Arusha

    Shukrani mkuu ngoja nitafute
  3. G

    Natafuta fundi wa Pajero Min, Arusha

    Hii ina turbo boss na sasa hivi tatizo limezidi kwenye kamwinuko kidogo tu D haisogezi mpaka 2 au L.
  4. G

    Natafuta fundi wa Pajero Min, Arusha

    Hello wana JF, Naomba mtu anayefahamu fundi wa Mitsubishi anisaidie kwa Arusha. Gari inachelewa sana kubadili gear na inatembea kwa rpm kubwa sana kwa speed ndogo na kuna muda inakosa nguvu kabisa. Asanteni sana.
Back
Top Bottom