Recent content by gmstarpro

  1. gmstarpro

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ngojea kwanza nicheke Leo nimecopy code zote za huku lakini mikeka imechanika karibia yote . yaani Leo kanji kwake ndio anasema mikeka ndio imetiki. ila hata km nimekuwa ndoige zakutosha lakini sijakata tamaa. pingine hii ya mwisho na hiyo iliyobaki ndio itatusua Sent from my CPH2095 using...
  2. gmstarpro

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna SGR yangu ilikua inaendelea vizuri ila Leo imedondoshwa na Newcastle kizembe sana najua kukataa Ile sauti iliyokiwa inaniambia ni cash out Sent from my CPH2095 using JamiiForums mobile app
  3. gmstarpro

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hawa betway sitaki hata kuwasikia niliweka vimkeka nikashinda mpaka 130,000/= na hiyo pesa ikawa haitoki japokuwa ipo Kwenye account yangu ila ukibeti inafaa na ukishinda inaendelea kuongezeka ila kutoa ss ndio haitoki. Niliwatafutabila wakawa wansema haifai Kwa sababu Kuna Ile nilideposit alafu...
  4. gmstarpro

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wazee tupieni code zilizokuwepo nimeshapita nazo. msikae kimya alafu baadae mkaja kuturingisha mmeshinda
  5. gmstarpro

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    well said bro Sent from my CPH2095 using JamiiForums mobile app
  6. gmstarpro

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    tayari kashatoa Sent from my CPH2095 using JamiiForums mobile app
  7. gmstarpro

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    bado game haijaisha Sent from my CPH2095 using JamiiForums mobile app
  8. gmstarpro

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mm mbn nimepita nayo yote? Sent from my CPH2095 using JamiiForums mobile app
  9. gmstarpro

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hii nimepitanayo hata za mwanzo nilipitanazo ila nilikutana na ndoige ..........
  10. gmstarpro

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kama kuna mtu ana odds 2 anahisi zinaweza kuwin naomba code ni weke hapo 10k
  11. gmstarpro

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    leo mbona kimya sijasikia mtu akilalamika hakuna mkeka unaopumua wala anayesheherekea ushindi au ndio tuseme leo yote ongoing?
  12. gmstarpro

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hapo kweli unajilipua Sent from my CPH2095 using JamiiForums mobile app
  13. gmstarpro

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ile ya machupa vipi? mm nikijaribu nikafanya vizuri ila nilivyokua naongeza dau nikawa nachezea ndoige za kutosha Sent from my CPH2095 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom