Recent content by Gluckyy

  1. G

    Ushauri: Nilimuoa tukaachana kwa vituko vyake, nimemrudisha lakini aniheshimu

    Hunifokea kwa Jambo lolote. Nilienda kumchukua sabb nilihtaji kuwa karbu na mwanangu pia nikiamini kuwa kabadilika maana alikuwa akinipigia simu kuniambia kuwa hatorudia. Kuhusu swali la kuwa mahusiano mengine hilo sikuwahi kusikia.
  2. G

    Ushauri: Nilimuoa tukaachana kwa vituko vyake, nimemrudisha lakini aniheshimu

    Habari zenu, Nimejitokeza hapa kuomba ushauri wenu sababu naamini hapa kuna watu, wazima na wenye upeo zaidi yangu. Mwaka 2012 nilimuoa binti mmoja kutoka Kigoma tukabahatika kupata mtoto wa kiume mwaka huo huo ila alikuwa akifanya vituko vingi sana, na mwaka 2013 tuliachana mtoto akiwa na...
  3. G

    Nahitaji mchumba wa kike

    Kwann?
  4. G

    Nahitaji mchumba wa kike

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 naelekea 27, kabila msukuma, dini mkiristo, elimu ya kawaida, kazi mjasiriamali. Makazi kwa sasa niko kahama ila soon nitakuwa Dar. Mwanamke ninayemhitaji awe mwenye hekima dini yoyote na kabila lolote. Kwa ambaye yuko serious karibu PM kwa kufahamiana zaidi.
Back
Top Bottom