Recent content by gloshaz

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kusoma degree zaidi ya moja.

    Vile unaweza fanya labda kama unachukua degree uchukue na short courses zingine ila 2 full degrees hakunaga
  2. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kufanya transfer kwa muda huu

    Kwa chuo tofauti sifahamu kwa kweli
  3. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kufanya transfer kwa muda huu

    Kama ni ndani ya chuo hicho hicho ni rahisi tu, haswa kama slots za kozi unayotaka kuhamia bado zipo
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na Certificate ya ICT, Unaweza kusoma diploma ya Account?

    Inawezekana jamani kuna ndugu yangu tena yeye katoka records na kahamia accounts procedures zinafwatwa tu chuoni,
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Bora skupoteza ef 30 yangu sjui ningekua na uchungu kiasi gani na ela ilvokua ngumu
  6. G

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE CAS SIWAELEWI.

    Hapo acheze tu na listi za majina ya vyuo alivyoapply maana kwangu pia nliambiwa hivyo ila ilibidi niangalie vyuo nlivyokua nimeomba ndo nikakuta jina langu kwenye chuo moja wapo ila profile haijaonyesha
  7. G

    JamiiForums Tanzania MS-TCDC Arusha

    Ms TCDC ni chuo ila ni cha wa denish ndo maana umeona gharama zao ni kubwa ila ndio hizo short courses wanatoa na ni nzuri sana ukipata gamba lao pale u rock,
  8. G

    JamiiForums Tanzania NACTE wametoa status kwa diploma holder, ingieni mwangalie

    Mh apo sjui kwa kweli labda watakunotify baadae kama ilvyokua kwa wenginee waloambiwa through profile
  9. G

    JamiiForums Tanzania NACTE wametoa status kwa diploma holder, ingieni mwangalie

    Mi nliapply wa 9 nimepata pia, cha muhim angalia vyuo vile ulivyoomba list za majina walzotoa
  10. G

    JamiiForums Tanzania Wale wa Diploma kwenda Degree 2016, kuna aliyechaguliwa tayari?

    Kwenye second selection hawaandiki kuwa ni nacte, mi nlikuta jina langu kwenye second selection nikaduaa tu ila fuatilia majina yote yanayotoka kwenye vyuo ulivyoapply Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
  11. G

    JamiiForums Tanzania Wale wa Diploma kwenda Degree 2016, kuna aliyechaguliwa tayari?

    Baadhi wamepata, angalia majina yanayotolewa na vyuo ulivyoapply
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wale wa Diploma kwenda Degree 2016, kuna aliyechaguliwa tayari?

    Waambie waangalie kwenye vyuo walivyoomba mi nlkua nasubiria profile kumbe jina limetoka kwenye list ya chuo moja kwa moja baadhi ya vyuo walishatoa tayari
  13. G

    JamiiForums Tanzania Msaada.

    Alafu kitu kingine katka ile list yaohawaonyeshi mtu kapangwa course gani
  14. G

    JamiiForums Tanzania Msaada.

    Kwenye profile wanaonyesha?
Back
Top Bottom