Recent content by Glojos

  1. G

    Je, Tanzania itaanza lini kutumia barabara za nanotechnology?

    Technologia ndio nano. Inatumia tiny particle
  2. G

    Je, Tanzania itaanza lini kutumia barabara za nanotechnology?

    Technologia ndio nano. Inatumia tiny particles
  3. G

    Je, Tanzania itaanza lini kutumia barabara za nanotechnology?

    Hizi picha sio lami tulizozoea kuziona
  4. G

    Je, Tanzania itaanza lini kutumia barabara za nanotechnology?

    Teknolojia ya nano, kwa upande mwingine, inahusu uhandisi na upangaji wa vifaa kwa kiwango cha atomiki na molekuli, kwa kawaida kati ya nanomita 1 hadi 100. Utafiti huu unajumuisha maendeleo ya vifaa vipya vyenye sifa na matumizi ya kipekee, kama vile nguvu bora, uthabiti, na upinzani zaidi...
  5. G

    Je, Tanzania itaanza lini kutumia barabara za nanotechnology?

    Barabara zinazotumia nano technology. Ni Technologia inayounganisha udongo wa mahalo husika na kuufanya ngumu kama mwamba Misha kumimina asphalt juu kama lami.
  6. G

    Je, Tanzania itaanza lini kutumia barabara za nanotechnology?

    Barabara za Nanotechnology zimeanza kutumiwa na nchi nyingi; 1. Inachukua muda mfupi kujenga. 2. Ni environmental friendly (inaweza kujengwa hata Serengeti na mbuga zetu zote). 3. Naamini wataalamu wetu kama Ibra Construction wanazimudu. Maida Waziri alionekana South Africa akizionyesha kwenye...
Back
Top Bottom