Recent content by GJHariohay

  1. GJHariohay

    Mikutano ya Tundu Lissu pekee ndio ina uhalisia hapa Bongo, hainaga Maigizo. Huwa ananikumbusha Mikutano ya Nyerere

    Sidhani kama ulielewa mada au umekuja kuandika haraka haraka baada ya kuona jina la TL . Chuki ndio imefikisha siasa zetu hapa tulipo . Jadili hoja jamvini
  2. GJHariohay

    Tutajie Mbunge ambaye hujawahi kumsikia akichangia chochote Bungeni

    Mbunge wa Karatu anaitwa Daniel Awack ... huyu yupo yupo tu hajawahi kuchangia . Jimboni hayupo wala Bungeni haonekani
  3. GJHariohay

    Mikutano ya Tundu Lissu pekee ndio ina uhalisia hapa Bongo, hainaga Maigizo. Huwa ananikumbusha Mikutano ya Nyerere

    CCM hawajawahi kuwa na uhalisia kwenye mikutano yao . Maigizo kama yote
  4. GJHariohay

    Siri niliyooneshwa kuhusu nchi yangu Tanzania

    Bila shaka hao ni ndugu zako ama una ugomvi nao.
  5. GJHariohay

    Siri niliyooneshwa kuhusu nchi yangu Tanzania

    Ahsante sana kwa mawazo yako pia
  6. GJHariohay

    Siri niliyooneshwa kuhusu nchi yangu Tanzania

    Haya ni Maoni yako ndugu. Na me nayaacha kama yalivyo. Pia ni tabia ya watu wengi humu ku under estimate mawazo ya watu ama kudharau watu ambao mawazo yao hayajawapendeza.
  7. GJHariohay

    Siri niliyooneshwa kuhusu nchi yangu Tanzania

    Soma vizuri content ndugu. Hayo ni mawazo potofu wala hayana uhusiano na post yangu
  8. GJHariohay

    Siri niliyooneshwa kuhusu nchi yangu Tanzania

    Ujana unaishia miaka mingap Bro. But niko under 40s
  9. GJHariohay

    Siri niliyooneshwa kuhusu nchi yangu Tanzania

    Hapana kwakweli. Kama kuna mtu mwenye utaalamu wa kutafsiri ndoto naomba msaada ndugu.
  10. GJHariohay

    Siri niliyooneshwa kuhusu nchi yangu Tanzania

    Ndugu zangu Watanzani, leo nimekuwa na tafakuri ndefu sana kuhusu nchi yangu, wakati nafsi ikielekea kulalamika juu ya hali halisi ya maisha yaliyopo mtaani, nikiwa kwenye chumba changu mwenyewe chenye utulivu mno , wakati nikiendelea kufikiria ni namna gani naweza kupigana na changamoto nyingi...
  11. GJHariohay

    Majibu ya ACT-Wazalendo kwa hoja za Tundu Lissu

    Act ni waroho wa madaraka kama kc wao. Wameamua kunywa juice ya bariiidi kupitia damu za watu. Alafu wanavyomfagilia huyo Maalim Seif kama vile sio mtu/sio binadamu wa kawaida. Kwa taarifa yenu huyo ndio mwenye tamaa sana. Kutoshiriki SUK 2015/2020 inamuuma sana. Inshort, hakuna maslahi...
Back
Top Bottom