Hellow wapendwa nilikuwa napenda kuwajulisha watu wote wanao hitaji ajira kuwa kuna hoteli inayo tarajiwa kufunguliwa maeneo ya karume complex kwa yeyote atakaye hitaji anitafute ili nimpe maelezo zaidi .asanteni
Hellow wapendwa kwa jina naitwa jackline naishi dar es salam elimu yangu n kidato cha nne nmemaliza mwaka 2014 natafuta kazi za usafi Hotelin au maofisin au kaz ya supermarket najua kusoma na kuandika napia najua mahesabu na pia najua kingereza japo sio sanaa nahitaj kaz kwa moyo wangu wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.