Recent content by girose

  1. girose

    Naombeni mnisaidie Tafsiri ya ndoto hii

    Wanandugu, naomba mnisaidie maana ya ndoto hii. Juzi nimeota ndoto moja hivi ambayo inanisumbua mpaka sasa. Niliota kwamba Mwalimu Mwakasege anagonga hodi nikamfungulia. Nilipomfungulia mlango akaingia huku akisema ya kwamba amezunguka sana akipatafuta ninapoishi. ndipo alipoingia akakaa kwenye...
Back
Top Bottom