Pole sana shivji, komaa ivoivo ili tonge yako isipotee but uamini kwamba kwenye maisha mabadiliko ni lazima so Tz kupata mabadiliko ni kitu hakipingiki kupitia rasimu hii
Umejitaidi kuongea but nonesence huna hoja ya msingi mzee so na wewe rudi ukajipange tena afu uje na hoja na ufafanuzi wake sio bla blaa coz raia tumechoka na blaa zenu zisizo na maana sahihi
Bwana Nape kama ilipita miaka 49 ya muungano na haikupatikana iyo dawa yakutatua kero za muungano je ni vipi zitapatikana ndani ya mwaka mmoja wa mchakato wa katiba mpya ??? Acha blaa zako TANZANIA muda wamabadiliko umefika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.