Ndg Macritical Thinkers salamu....
Nimepatwa na maswali mengi sana kuhusu tukio la jana la Cabinet ya Kikwete kutangazwa na Katibu Mkuu kiongozi huku Mhe. Rais nikimwona akipokea Kifimbo cha Malkia wa Uingereza. Je hii imekaaje?
Maswali yenyewe ni, je;
1. Rais aliona kupokea kifimbo ni muhimu...
Taarifa za hivi punde ni kuwa m/kt wa CHADEMA wilaya ya Temeke atekwa na kukutwa ametupwa maeneo ya ununio akiwa hoi bin taabani. Watekaji walijitambulisha kuwa ni maafisa wa jeshi la polisi, walimfunga kamba na kitambaa machoni wakaondoka naye kusikojulikana.
Source: Wapo radio fm.
Iweje yes kwa Zanzibar and No kwa Tanganyika ilipotimiza miaka 50? miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar ni bora kuliko miaka 50 ya Tanganyika? Mbona hatukuona sarafu km hizi? huu nao ni wizi km wizi mwingine km RICHMOND.,
Wanabodi salamu, Jana nilikuwa maeneo ya kibaha nikashangaa kuona barabarani kumetundikwa bendera za CCM kuelekea kwenye kiwanda cha kuzalisha dawa za kuulia viruwiruwi vya mbu wa malaria. Kuuliza wenyeji wakasema Rais Kikwete atakuwa na ziara ya kiserikali kiwandani hapo. Nikawauliza tena, km...
hongera kamanda wape ukweli hao wafadhili wa serikali ya mafisadi ili waone km misaada yao inasaidia watz ama mafisadi wachache? wakiona ibafaa wakate kabisa misaada yao!
Ndugu Makunguru, ulicho kinena ni sahihi kabisa. siku zote CCM na washirika wake wamekuwa wakitumia karata hii ya udini katika vyama vingine ili kuviua kisiasa. Walifanikiwa kwa NCCR na CUF lakini kwa CDM naona watagonga mwamba. Unajua ukianza na MUNGU utamaliza na MUNGU pia. Wenzetu wanaanza na...
Ndugu Makunguru, ulicho kinena ni sahihi kabisa. siku zote CCM na washirika wake wamekuwa wakitumia karata hii ya udini katika vyama vingine ili kuviua kisiasa. Walifanikiwa kwa NCCR na CUF lakini kwa CDM naona watagonga mwamba. Unajua ukianza na MUNGU utamaliza na MUNGU pia. Wenzetu wanaanza na...
Siyo kila kitu alichokisema ni sahihi! pengine kilikuwa ni sahihi kwa wakati ule. ndo maana hata yeye aliwashangaa viongozi wa CCM kwa kusema, katika awamu yake kuna mazuri na mabaya yaliyofanyika, lakini akashangaa na kuwaona viongozi wa CCM ni kituko kwa kuacha mazuri na kuchukua mabaya. so...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.