You constantly need to be smart and sharp minded for being a CRITIC. Before giving that comment, you were supposed to look for validity of your sentimental statements. We don't sell any advert there to the blog. There isn't any sort of profit gained in it rather than sharing knowledge and...
Makala hii itakuelezea namna rahisi ya kupakua videos kwa upande wa PC kwa undani zaidi. Soma zaidi hapa: http://afgreenwireless.blogspot.com/2015/07/fahamu-njia-rahisi-ya-kupakua-download.html
Usisahau kulike page ya blogu hii katika Facebook: afgreenwireless na pia follow katika Twitter...
Makala hii itakupa muongozo wa namna ya kupata chaguo la "developer options" katika smartphone za Android. Soma zaidi hapa: http://afgreenwireless.blogspot.com/2015/07/jinsi-ya-kupata-developer-options.html
Follow page ya blogu hii katika Twitter: @afgreenwireless
Pia like page yetu katika...
Teknolojia inazidi kukua siku hadi siku, na kwa kasi ya ajabu sana. Kama wanadamu, tunatakiwa tambua ya kwamba " unapotumia sana mawasiliano ya internet na ndivyo unajitenga na mawasiliano ya kidunia(physical interactions)". Teknolojia inatuondoa katika mazingira yanayotuzunguka na kutupeleka...
Kwa miaka sasa, ushindani mkubwa umekuwepo kati ya Android OS (inayomilikiwa na Google) na iOS (inayomilikiwa na Apple. Operating System ya Android ni tofauti kidogo na iOS, Android ni mradi huru (open source project), inatumika na makampuni mengi yanayotengeneza smartphones (OEMs), makampuni...
Kwa hali hiyo, battery yake itakuwa imekwisha poteza umaradufu wake. Tatizo ni kwamba battery yake ni non-removable, ila unaweza kupata ile module nzima ya battery na fundi akakubadilishia, lakini hizi huwa gharama kidogo na upatikanaji wa zilizo halisi huwa ni ngumu kidogo.
Huwezi kuacha kumtaja HTC pale unapoongelea wabunifu bora wa smartphones. Lakini kuna jambo moja ambalo linamnyima raha sana, na ni dosari kwake. Inaonekana ya kwamba anajitahidi kila awezavyo kuwa na kamera bora katika smartphones zake,
=================================
Chanzo: afgreenwireless
Siku chache zilizopita nilishare link ya kufanya namna unavyoweza root Android smartphone kwa kutumia app ya Towelroot, app hii inakubali katika smartphone nyingi kuanzia HTC mpaka Xiaomi. Kuna nyingine ambayo unaweza kuitumia endapo Towelroot ilifeli katika smartphone yako, ina uwezo wa kuroot...
BlackBerry ana mpango wa kutengeneza smartphone itayotumia Android OS. Je! simu hii italeta msisimko wowote kwa watumiaji wa smartphones? na pia Blackberry alikuwa akifanya mambo gani muda wote huu ambapo alikuwa akihangaika kurudisha hadhi yake!
=================================
Chanzo: Blogs
Tembelea blogu ya Afgreenwireless ili kupata habari, makala na uchambuzi kuhusu teknolojia ya smartdevices na mengineyo mengi: AFGREENWIRELESS: Fahamu Njia Rahisi ya Kupakua (Download) Videos za Youtube Ukiwa na App Inayoitwa OGYoutube
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.