Ni maoni yangu hakuna haja ya maandamano mengi Kwa sasa Taifa litulie kwanza
Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu
Ikiwezekana uwepo mfuko MAALUMU wa kuwakumbuka wale wote waliopata...
Huu upuuzi wa hisia za uzanzibar na utanganyika tuachane nao
Kama kiongozi ameamua kufanya hivyo ahukumiwe Kwa makosa yake sio kuwahukumu wazanzibar wote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.