Recent content by GideonMagazi

  1. GideonMagazi

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Waungwana eeh!!! Me nshachoka kusubiri kama vp siku yakitoka mtanipigia kuniambia no. 0672707004.
  2. GideonMagazi

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Dah! Kila nnaposoma comment za watu humu ndo navurugwa kabisa!! So kama profile langu lina capacity 0 inamaana ntakua nmetemwa? Msaada plz
  3. GideonMagazi

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    pole kama umeshtuka kiongozi!!!
  4. GideonMagazi

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    mbona hujiamini?
  5. GideonMagazi

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Hayawi Hayawi, Sasa yamekuaaa!! Mungu hamtupi mja wake na mvumilivu hula mbivu!!! Kile tulichokingoja kwa hamu!! Namaanisha post, hizooo..... Zinakuja!!!
  6. GideonMagazi

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Dah! Me nangoja had mwisho wadau:A S-omg:
  7. GideonMagazi

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Dah! Waungwana nlkua nmesinzia nkaota post zmetoka kumbe bado!? Aki ya nan hawa nacte wamekatsha usingz wangu!!! Ngoja nlale tu tena
  8. GideonMagazi

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    nmeangalia mlolongo mzma wa post kwa miaka ya uchaguzi na nkajarbu kuulzia watu waloapply kpnd hcho nkacompare na mwaka huu
  9. GideonMagazi

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Nmejaribu kufanya uchunguzi wangu wa kina nikagundua post watatoa mwezi wa 9 kwenye tar 15 na kuendelea. Kwa hiyo waungwana kueni na subira!!!
  10. GideonMagazi

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Cheka kdogo ustadhijuma bakza na kesho manake nahc itakua bado hayajatoka
  11. GideonMagazi

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Kama vp waungwana tufanye kupotezea labda ndo watatoa mapema manake inawezekana wakachelewa kutoa kwa kufurahishwa na jinsi tunavyohangaika kujua matokeo!!! Ni wazo tu.
  12. GideonMagazi

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Jaman kama kuna mtu aliefanya mawasiliano na nacte atujuze manake me nahisi kuna watu humu wanamarefa na wanajua kinachoendlea lakin wametulia tu na kutuangalia tunavyo hangaika
  13. GideonMagazi

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Wadau mbna nmefungua profile langu nmekuta capacity n zero zote?
Back
Top Bottom