Naungana na wewe,kumekua na viongozi wanawake shupavu ktk mataifa makubwa mfano Margaret Thatcher kwa Uingereza na pia kansela wa Ujerumani Angela Merkel
Hiyo ndio aina ya makada wa chama chakavu,Yohana huyu ni mnafiqw kuliko member yeyote huku jamvini,yupo kama panya buku,refer case ya ugaidi ya Mbowe ndio utajua ni mtu wa aina gani japo ni muelewa wa mambo mengi ila bingwa wa kuhamisha magoli
Wewe na Luca tofauti yenu ni moja,yule ni zwazwa kama mwanaume aliyerogwa kwa kuwekewa shuntama na mke wake alafu wewe ni kada mnafiqw 😂😂😂,Yohanaaa!!!.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.