Recent content by ghyorien

  1. G

    Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    nami pia nataka fanya biashara ya chipsi. nipo kijitonyama natafuta eneo litajakonilipa vzuri kwenye hii biashara. nmezukunguka sana eneo la makumbusho lakini. cjapata sehemu Wadau wa dar hata mikoani plz kama kunamaeneo mnadhani naweza anzisha hhi biashara ikakua. tafadhari nsaidieni ushauri
Back
Top Bottom