Hivi kwanini utumishi wasingekuwa wanajibu watu mapema maana hii ya kila saa unaingia ess huoni kitu nayo sio nzuri…..Ila pia nina swali kwani ombi likifika utumishi wanaohusika si ni wengi na wanaingia kazini kila siku za kazi sa kwanini inachukua miezi mingi?? Na pia kama kuna mambo...
Lkn pia tena wakasema kwa ushuhuda wao vyuo vilivyopo chini ya wizard ya fedha vina masilahi na posho posho nyingi kuliko hivi vingine ambayo wengi huvipendea majina…. Sina uhakika nimesikia tu
Nami niliwahi pia kuiona hiyo ya assistant lecturer GPA 3.5 kwenye mfumo kwa hivi vyuo vinavyoitwa vikuu ila nilimuuliza mtu mmoja ambaye alifanikiwa kuhamia chuo fulani akasema kuna assistant lecturer ya GPA ya 3.5 ambayo ndiyo yeye alihamia kwayo, ila akasema kunakuwa na ka utofauti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.