Recent content by ghalim7090

  1. ghalim7090

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata uzoefu kwa wakulima wa dragon fruit!

    Sawa.
  2. ghalim7090

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata uzoefu kwa wakulima wa dragon fruit!

    Nipo Singida, Kwenda masasi unamaanisha kwenda kufanya nini! Hapo sijakuelewa
  3. ghalim7090

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata uzoefu kwa wakulima wa dragon fruit!

    Sawa. Kama nilivyosema nafanya lakini kwa kiasi kidogo kwa sasa ndiyo nataka kuweka kwa kiasi kikubwa maana miche ninayo ya kutosha. Kuna mashina ambayo niliweka moja moja sehem tofauti ambayo ndiyo nilizalishia miche mipya nitatafuta picha zake nitaziweka pia
  4. ghalim7090

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata uzoefu kwa wakulima wa dragon fruit!

    Habari Wana familia jamii forum! Nimekuwa najihusisha na kilimo cha dragon fruit kwa miaka kama 4 sasa japo siyo kwa kiwango kikubwa. Nimeona kuna mambo mengi ambayo ni muhimu kuyafaham juu ya kilimo hiki hasa magonjwa, wadudu wasumbufu na waharibifu hasa kono kono, pia kuhusu...
Back
Top Bottom