Recent content by Ghalib01

  1. Ghalib01

    SoC02 Yafanyike haya kuikomboa NHIF

    Kuna totauti kati ya kuona na kuangalia
  2. Ghalib01

    SoC02 Kirusi cha NHIF

    Nakala hii nitazungumzia KIRUSI CHA NHIF kimaana TATIZO LA MFUKO WA BIMA YA AFYA LINALOPELEKEA KUFA KWA NHIF. Nitatumia Sayansi ya Uumbaji katika kukizungumzia KIRUSI CHA NHIF lakini kabla ya kwenda kwenye MADA kwanza tuijue hii Sayansi ya Uumbaji ni nini!? Sayansi ya Uumbaji ni MSINGI wa DUNIA...
  3. Ghalib01

    SoC02 Yafanyike haya kuikomboa NHIF

    Nimesoma Nakala yako kwa Umakini mkubwa, nimeona Nakala yako imeshiba sina Neno la kuengeza ila nanukuu ulichoandika ili kukitia NGUVU. ...... endapo Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ukiporomoka, utapelekea kuhatarisha afya za wananchi, kudorora kwa shughuli za kiuchumi na uchumi wa...
  4. Ghalib01

    SoC02 Je, nyuma ya uchi kuna siri gani?

    Tumezaliwa ili tufe si kuishi
  5. Ghalib01

    SoC02 Je, nyuma ya uchi kuna siri gani?

    Nitauzungumzia UCHI kwa kuwa watu wanaoruhusiwa hapa ni kuanza miaka 18 basi hakuna tatizo. JE, NYUMA YA UCHI KUNA SIRI GANI!? Nitatumia Sayansi ya Uumbaji katika kutoa Elimu hii, lakini kabla ya kwenda kwenye Mada husika, kwanza tuijue hii Sayansi ya Uumbaji ni nini!? Sayansi ya Uumbaji ni...
  6. Ghalib01

    SoC02 Afya katika imani potofu

    Nakala yangu hii nitazungumzia AFYA katika IMANI POTOFU, Imani yangu kupitia Nakala hii itasaidia kuleta MABADILIKO KWENYE JAMII, Nitatumia Sayansi ya Uumbaji katika hili, lakini kabla ya kwenda kwenye Mada husika, kwanza tuijue hii Sayansi ya Uumbaji ni nini!? Sayansi ya Uumbaji ni MSINGI wa...
  7. Ghalib01

    SoC02 Uchumi

    😂😂😂
  8. Ghalib01

    SoC02 Uchumi

    Unachekesha sana eti Mungu hayupo kwenye 3D!! yaani UUMBAJI!! Sayansi ya Uumbaji inathibitisha kwamba MUNGU yupo kwenye Uumbaji kimaana kuna Uhusiano baina ya MUNGU na DUNIA, tazama Dunia kinamba D=4, U=21, N=14, I=9, A=1 Tuzijumlishe namba moja moja moja moja ndo formula ya Sayansi ya...
  9. Ghalib01

    SoC02 Uchumi

    Lakini si nimekuambia hii Sayansi ya Uumbaji haina Uhusiano na Big BANG na kwanini Uforce iendane na Mawazo ya Sayansi YENU Acha niwe Darasa la Saba lakini anaejua ni tofauti na aliyekariri
  10. Ghalib01

    SoC02 Uchumi

    Nimekuuliza kwa sababu ilo neno lina maana ya VIPIMO pia
  11. Ghalib01

    SoC02 Uchumi

    Unazungumzia VIPIMO!?
  12. Ghalib01

    SoC02 Uchumi

    Kama huamini katika MUNGU una amini katika NGUVU za Asili basi izo NGUVU ndiye MUNGU mwenyewe, kimaana kuna Uhusiano baina ya MUNGU na NGUVU, Sayansi ya Uumbaji inakuthibitishia ilo, tazama Mungu kinamba M=13, U=21, N=14, G=7, U=21 Tuzijumlishe namba moja moja ndo formula ya Sayansi ya...
  13. Ghalib01

    SoC02 Uchumi

    Maswali ya mwanzo umejibu mwenyewe kwa kujifanya unajua hali ya kuwa hujui, Sayansi ya Uumbaji imejipambanua vizur kwamba ni MSINGI wa DUNIA ama MWANZO wa SAYARI, sasa inakuwaje namba zisikuwepo kabla na baada!? kwani Msingi na Nyumba kipi kinatangulia!? na kipi kinachakaa mwisho!? Sayansi ya...
  14. Ghalib01

    SoC02 Uchumi

    Mimi nitauzungumzia UCHUMI kimaana nina Uhusiano nao, pia katika hili kuna SAYANSI na ELIMU ndani yake. Nitatumia Sayansi ya Uumbaji katika kuuzungumzia UCHUMI lakini kabla ya kwenda kwenye UCHUMI kwanza tuijue hii Sayansi ya Uumbaji ni nini!? Sayansi ya Uumbaji ni MSINGI wa DUNIA ama MWANZO wa...
Back
Top Bottom