Recent content by gfzan_yemen

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kuna kiongozi wa nchi ya Kiarabu alienda South?

    sometime bora mtu anyamaze tu kuliko kuropoka ropoka hovyo hapa....
  2. G

    JamiiForums Tanzania 14.10.2013 Nyerere Day - SIKUKUU YA EID-EL-HAJJ NI JUMATANO, OKTOBA 16, 2013

    eid alhaj inshaAllah itakuwa juma 4 coz siku ya juma 3 ni siku wanayosimama mahujaji kwanye mlima wa arafa so siku inayofata ndio siku ya eid hamna cha bakwata wa makwata...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Akamatwa na pembe za ndovu - Mbinga

    ngosha muda wote ameka kimya coz walikuwa wanmtuliza na cash inaonekana ameuza dili baada ya kubaniwa maana tatizo kubwa ya watumishi wa serkali ni cash tu ! Ukitoa cash fanya unavotaka na wao ndio wanakusaidia na ukiwabania tu wanakugauka mfano wao kina ngosha lol
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kigogo tra alivyomwagiwa tindikali

    Hii ndio mwisho wa walarushwa maana hamna ofisi inayoongoza kwa rushwa na ujajasaji kwa raia kama ofisi ya TRA. Bora wasafishwe mafisadi hawa na hamna ofisa yoyote anayofanya kazi kwa uwaminifu yote ni mafisadi tu
  5. G

    JamiiForums Tanzania Allah Akbar??!!

    kama unabanwa na mavi nenda ukanye sio unaropka humu
Back
Top Bottom