Utulivu wa kisiasa wa Tanzania, ukilinganishwa na nchi nyingine za Afrika na Asia ambazo zimepitia machafuko au mapinduzi ya umma, unatokana na misingi ya kihistoria na mshikamano wa kisaikolojia uliojengeka kwa muda mrefu.
Ufuatayo ni uchambuzi wa sababu tano kuu za kisaikolojia na kimuundo...
Sasa Jeshi la Uingereza lilipokuja Tanzania kipindi kile kuzima mapinduzi, si liliitwa kwa barua. Sasa hivi unadhani ni rahisi tu jeshi la nchi nyingine bila kuitwa au kuombwa na chama cha upinzani tu, linaweza kuja kulinda raia? Una tumia akili zako vizuri kweli?
Jeshi la Tanzania haliwezi kuasi kwa sababu limejengwa juu ya msingi wa historia, umoja na falsafa ya kitaifa iliyopandikizwa tangu enzi za ukombozi.
Wakati mataifa mengi ya Afrika yalirithi majeshi ya kikoloni yaliyokuwa vyombo vya ukandamizaji, Tanzania ilijenga Jeshi la Ulinzi la Wananchi...
Polepole anasema Tanzania haina uhuru wa habari, sheria hizi👇zilipitishwa yeye akiwa Mbunge na Katibu wa Itifaki na uenezi, na hakuwahi kusema kitu.
1. The Media Services Act (2016)
2. The Media Services Act (2016)
3. Statistics Act (2015)
4. Access to Information Act (2015)
Vyombo vya habari...
Tanzania imeweka historia kwa kuwa na Rais wa kwanza mwanamke, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Lakini pamoja na mafanikio makubwa aliyoyapata katika kipindi kifupi cha uongozi wake, bado anakabiliana na changamoto kubwa moja: mtazamo wa kijamii wa Kiafrika kuhusu nafasi ya mwanamke katika...
Afrika imekuwa ikishuhudia misururu ya mapinduzi ya kijeshi tangu enzi za Vita Baridi hadi karne ya 21. Nchi nyingi zilikumbwa na hali hii kutokana na migawanyiko ya kisiasa, kikabila na kiuchumi.
Ghana ilipitia mapinduzi yake ya kwanza mwaka 1966, Nigeria ikashuhudia mapinduzi mara kwa mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.