Recent content by Gerz

  1. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mabadiliko katika taa za kuongoza magari barabara ya Bibi Titi yasitumike kama mtaji wa askari bila kutoa elimu

    Mabadiliko yaliyofanyika kwenye mataa ya kuongoza magari katika Barabara ya Bibi Titi yameleta mkanganyiko mkubwa kwa madereva. Aidha, inaonekana askari wa usalama barabarani wamegeuza eneo hilo kuwa sehemu ya kukusanya mapato kupitia utozaji wa faini. Tunaomba askari wa usalama barabarani...
Back
Top Bottom