Recent content by Gerson Msigwa

  1. Gerson Msigwa

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Nimepokea. Nawasogezea wenzangu upande huo washugulikie.
  2. Gerson Msigwa

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa muda mrefu sikuwemo katika jukwaa hili lakini natambua mchango mzuri wa wadau wote unaotolewa kupitia jukwaa hili. Naomba mnikaribishe na tujadiliane kwa afya na kwa maslahi ya nchi yetu. Assalam Waleikhum
Back
Top Bottom