Simu yang nikiiwekea lain inasema sim locked alafu nikitoa inakua safi je nini tatizo maana inaonesha ivo kwa kila laini wakati hakuna lain ambayo nimeifungia
Jamani wadau kuna simu ndogo aina ya samsang GT-E 1205Y nikiweka laini inasema sim locked alafu nikitoa lain inakua sawa,na laini sijaweka lock yoyote tatizo ni nini? Maana laini sijaziwekea lock yoyote
Habari jamani,, laptop yangu ni dell, niliiwasha ikawa inafanya updating baada ya muda ikafail kuupdate nikaamua kuuzima tena ili niiwashe upya baada ya hapo ikawa inawaka lakin haimalizii kuwaka inaishia kuandika dell alafu inabaki na mwanga na kudisplay screen nyeusi, na inacheza alama flan...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.