Recent content by gerishom mkotigws

  1. G

    Samahanini

    asante mkuu
  2. G

    Samahanini

    thank u best
  3. G

    Samahanini

    asante mpendwa
  4. G

    Samahanini

    asante ndugu yangu
  5. G

    Samahanini

    asante ndugu yangu gd9t
  6. G

    Samahanini

    wapendwa baada ya kutoa tangazo langu la ufundi wa magari kuna baadhi ya jamaa zangu niliahid kuwafanyia kaz lkn kwa bahat mbaya nilipata ajali kazin nikaumia mkono navkushonwa nyuz 30 na mpaka sasa nipo nyumbani nauguza kidonda. So no wory mungu akipenda nitapona na kuanza kuwahudumia.
  7. G

    mafundi magari

    tunafunga zote but nimesisitizia za v8 coz mafundi wengi wanazikimbia mtaan
  8. G

    mafundi magari

    bado ni waajiriwa pale toyota na kazi tutakua tunapiga wik end na kama kaz sio tafu hata jion kuanzia saa 12 tunafanya.
  9. G

    mafundi magari

    sisi ni vijana watatu kutoka toyota tz ,tunatengeneza engine aina zote hasa za V8.Yeyote mwenye kuhitaj huduma yetu tuwasiliane no.0766981308 tunakufuata ulipo DAR
  10. G

    mafundi magari

    sisi ni vijana watatu kutoka toyota tz ,tunatengeneza engine aina zote hasa za V8.Yeyote mwenye kuhitaj huduma yetu tuwasiliane no.0766981308
  11. G

    Service za magari

    engine,na service za kawaida
  12. G

    Service za magari

    kama ulijua nina bonge la usingiz napatikana m/nyamala ila bado cna mtaji wa kutafuta permanent eneo au gerej,so namfuata mteja alipo.
  13. G

    Service za magari

    Yeyote anaehitaji huduma ya service na matengenezo ya gari yake kwa bei nafuu tuwasiliane kupitia 0766981308. Huduma hii naitoa haswa kwa wakazi wa Dar, kwa wakazi nje ya Dar tutaelewana.
  14. G

    Automotive engineering

    ok shortly turbo charger hv 2 main parts ie impeller and turbine.so exhaust gases instead of geting out goes to rotate the impeller which connect dirrect to tubine by a shaft.then the rotation of impeller cause the tubine also to rotate.The ratation of tubine suck more air from the cleaner and...
  15. G

    Automotive engineering

    popote pale dar namfuata mteja
Back
Top Bottom