Mifumo ya kulikabili soko la nje inapaswa kuundwa mara baada ya kuanzisha uzalishaj ili kujizatiti mapema pindi ikitokea soko la ndan halikidhi umalizwaji wa bidhaa zote zizalishwazo
Ni kweli kabisa na elimu na ujuzi juu ya matumizi sahihi ya mikopo na muda sahihi wa kuomba mikopo... pia kuhamasisha utoaji wa elimu hasa kwa vijana juu ya masuala ya kujitengenezea mitaji kupitia biashara zao hata zikiwa ndogo ndogo
Kipaumbele kiwe nishati mbadala tupendekeze hasa matumizi ya renewable energy sources kwa sababu uwezo na rasilimali za kuwezesha hili tunazo ... tukiweka more emphasis kweny matumizi ya nishati mbadala tutaokoa zaidi mazingira hasa kweny suala zima la misitu na faida zitokanazo na misitu pia...
Tanzania tuitakayo
Maeneo ya Kubadilisha /kuyatilia mkazo;
Kilimo Endelevu: Uchumi wa Tanzania unategemea sana kilimo, na idadi kubwa ya watu wakiwa wanajishughulisha na kilimo. Hata hivyo, mbinu za kilimo za kawaida mara nyingi hazifai na si endelevu, hivyo kusababisha mazao machache na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.