Recent content by Georgewashington

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kila Mtanzania mwenye uchungu na elimu yetu aandamane Machi 25, 2013

    Waislam waliliona hilo mapema kumbe ila tuliwadharau na wengine hadi sasa wapo ndani. Wanaonewa ila kumbe nao huwa wanaona mbali sana ila sisi tunawadharau walipotaka necta ivunjwe tulkawaona wajinga sana. Inabidi kama vipi chadema sasa waungane na waislam wafanye maandamano ya pamoja wao wawe...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Serikali nunua kiwanja kidogo chenye rutuba kuliko kikubwa kisicho na rutuba kwani gharama hutoiweza

    SERIKALI NUNUA KIWANJA KIDOGO CHENYE RUTUBA KULIKO KIKUBWA KISICHO NA RUTUBA KWANI GHARAMA HUTOIWEZA. Wajomba nami leo wacha nimwage cheche zangu kwa hili serikali imekosea ila siilaumu ijipange upya tuu ndo kuangalia “nini chanzo”. Ninasikitika sana lakini kwa sababu haina jinsi inabidi...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nichukue PCM au PCB, naomba ushauri wako

    Kijana kwanza angalia nini plan yako kwanza ikimaanisha unataka kozi gani baadae ili usije kujiroga mwenyewe. Kisha angalia masomo gani unayamudu ili baadae usije kujutia kwanini uliacha somo fulani. Kisha utaamua mwenyewe nini ufanye baada ya kuangalia vigezo hivi.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Serikali nunua kiwanja kidogo chenye rutuba kuliko kikubwa kisicho na rutuba kwani gharama hutoiweza

    Wajomba nami leo wacha nimwage cheche zangu kwa hili serikali imekosea ila siilaumu ijipange upya tuu ndo kuangalia “nini chanzo”. Ninasikitika sana lakini kwa sababu haina jinsi inabidi nikubali tuu na kisha nicheke japo kidogo. Kwa nini hawa wahusika hawawajibishwi, hadi inafikia tunafika...
Back
Top Bottom