Habari wana JF. Ninaitwa George Lulabuka. Ninafuga na kuuza Samaki aina ya Sato/Tilapia maeneo ya VISIGA
Kila Samaki ana uzito wa 250g -300g (wanaingia wanne au watatu ktk kilo)
Bei ya 1kg ni Tsh 8,000 tu!
Ninachukua order kuanzia 100kg-200kg kwa wiki (kwa kila mteja) ila hata wa 50kg...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.