huyo mpuuz nan anawageuza watanzania kuwa mbulula yaan kila ck ya tukio kukamilishwa inapofika mambo yanabadilika , kama hawataki kuyatoa waache..... au kama vp huyo WAZIR kama anaogopa kuyatangaza bas,.. amtangazie MKEWE........ maana najua ailvyo mbeya tutayapata haraka sana ...
Unauhakika na hicho chanzo baba au ndo unarefresh ki mtindo .....na yaspotangazwa je .... et ndg wa karib mm nilifiklia may be umemcikia waziri mwenyewe anatangaza......:yell::kev::car: hee nipishe huko mm,,niende zang ....
kutokana na taarifa nilioipata hiv punde inasemekana kwamba matokeo hayo yatatangazwa muda wowte kuanzia sasa...hivyo walengwa munaombwa kuwa na subira na baraza linawaomba radhi kwa presha na figisu.
figisu iliowapaten
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.