Recent content by geohuss

  1. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Uraia wa Kurithi na Changamoto na Mfumo wa Ajira Portal

    Habari zenu wanajamii, Nina changamoto ambayo ninaomba msaada wenu wa ushauri na ufafanuzi. Mimi siku zaliwa Tanzania, lakini wazazi wangu wote wawili ni Watanzania. Kutokana na hilo, mimi ni raia wa Tanzania kwa kuzaliwa/kurithi na ninamiliki hati halali ya kusafiria ya Tanzania. Hata hivyo...
Back
Top Bottom