Recent content by Geoffrey baraza

  1. G

    Andika kwa wingi....

    mjomba wangu akiwa na mke nitasema mjomba wangu ana mke kwa wingi itakuaje,,,????
  2. G

    Nani mpumbavu kati ya baba na mtoto

    Mtoto katoka shuleni huku analia,alipofika nyumbani baba yake akamuuliza walia nini? MTOTO nimepigwa na mwalimu na nimeambiwa twende sote shuleni! Wakaenda shuleni na kuingia ofisini MWALIMU karibuni mtoto wako tumemuuza Nairobi iko wapi akashindwa ndio maana tumemchapa!BABA kwa hasira...
  3. G

    tumsifu yesu kristo.........

    Hueleweki we ni kama si mtanzania sikuelewi
  4. G

    Bangi ni mbaya xana!

    Kulikuwa na wavuta bangi wawili ambao walikuwa wanackia njaa xana! katika pilka pilka za kutembea wakaona mti wa maembe wenye maembe mabivu! Wavuta bangi hao hawakuslek wakaanza kupura kupura kupura mvuta bangi mmoja akamwambia mwenzake mwanagu e minadanda nimechoka kupura akadanda vizuri...
  5. G

    Macho ya paka

    Kuna jamaa mmoja alipata ajali na kupelekwa hosi macho yake mawili yakaaribka na ikamlazmu abadilishiwe kafka pale daktari kamwambia macho ambayo yamebaki ni ya paka dah jamaa alikubali akabadilishiwa akarudi nyumbani kesho yake karauka hosi daktari kamuuza vpi sahi uko sawa? Jamaa kakana...
  6. G

    Savng ni poa

    Wacha zako bro!
  7. G

    Savng ni poa

    Ghaai mwathani nmediscover that nime2mia 4000 000ksh since i bought a safaricm line you can chek uas by dialing *141*50*070566854# how i wsh ningesave ninunue gari!
Back
Top Bottom