Recent content by genuineme

  1. G

    Watanzania tumelala, Uganda yazindua gari lake la kwanza la kutumia umeme

    We ndo unavyowaza kuwa hatuwezi, habari iko BBC live. Wametengeneza,si kuassemble,
  2. G

    Watanzania tumelala, Uganda yazindua gari lake la kwanza la kutumia umeme

    Sasa jamani utagunduaje gari? Magari hayakugunduliwa ata na wazungu ,neno ugunduzi wa gari si sahihi,lilikuwa limefichwa wapi? Gari limeundwa na kuboreshwa . na kila nchi huboresha zaidi ya mwingine ndo maana kuna tofauti ya la mchina,mjapan, mjerumani na mganda.
  3. G

    Watanzania tumelala, Uganda yazindua gari lake la kwanza la kutumia umeme

    Acha wivuu, sayansi ni ya wote. Wametengeneza lao,na wana ya haki kuliuza na kukuza uchumi. Nguo za pamba ziligunduliwa na wazungu,mbona leo tukitengeneza tuna haki ya kuuza na kukuza uchumi Wetu. Kwa kuwa hatukugundua kusindika nyama basi tusisindike Samaki Wetu kuongeza thamani, waganda...
  4. G

    Pictures of Prophet Uebert Angel’s Crib & Luxury Motors

    Amekaa kihuni maana yake nini,amevaa kata K au aje,fafanua tujue unatumia vigezo vipi kujudge
  5. G

    Pictures of Prophet Uebert Angel’s Crib & Luxury Motors

    Sawa usemayo,lakini kumbuka sasa hivi watumishi si kuwa makuhani tu, Yesu alitufanya makuhani wa kifalme(royalpriesthood); Pia baraka ya katika kristo ni ya Ibrahim ,aliyekua na wingi wa dhahabu,fedha na wanyama. Mitume walihubiri chini ya torati zaidi,ndo maana walitumwa kwa kondoo wa israel...
  6. G

    Pictures of Prophet Uebert Angel’s Crib & Luxury Motors

    Miujiza ya sasa inazidi ya mate do ya mitume by thousands
  7. G

    Pictures of Prophet Uebert Angel’s Crib & Luxury Motors

    Unataka afanane na mzee kulola ndo awe mtumishi
  8. G

    Pictures of Prophet Uebert Angel’s Crib & Luxury Motors

    Hao wote wanatembea na miujiza balaa, huebert angel na makandiwa hâta bushiri. Mtu kaponywa cancer na aliandikiwa na daktari terminal illness,kwao ana pesa ,unafikiri utamkataza kutoa kwa mtumishi,ndo ivo
  9. G

    Pictures of Prophet Uebert Angel’s Crib & Luxury Motors

    Hiyo ni poverty mentality, Yesu alisema masikini mtakua nao siku zote. Tatizo vitu hivi wasiomjua huvitafuta Bali kwao huongezwa
  10. G

    Pictures of Prophet Uebert Angel’s Crib & Luxury Motors

    Urithi unaeza kua wako Bali kuutumia ni maamuzi yako,haulazimishwi. Mwanafunzi tajiri alimzika Yesu. Ni sawa biblia inasema yesu alitwaa magonjwa yetu na kubeba udhaifu Wetu,na kwa kupigwa kwake tulipona. Sasa unaeza ukawa mkristo ukaendelea kubeba magonjwa na kumbe ulishaponywa,basi inahitaji...
  11. G

    Pictures of Prophet Uebert Angel’s Crib & Luxury Motors

    Tazama alivosema: amini nawaambia hakuna mtu... Hii ni ahadi yenye kiapo,kwa kuwa ni mungu anajiapia mwenyewe. Sasa ni ukweli usioweza geuka
  12. G

    Pictures of Prophet Uebert Angel’s Crib & Luxury Motors

    Ndio utajiri wa dunia, angalia tena Marko 10: 29 Yesu akasema, Amin, nawaambieni, Hakuna mtu aliyeacha nyumba, au ndugu waume, au ndugu wake, au mama, au baba, au watoto, au mashamba(ajira), kwa ajili yangu, na kwa ajili ya Injili, 30 ila atapewa mara mia sasa wakati huu, nyumba, na ndugu...
  13. G

    Pictures of Prophet Uebert Angel’s Crib & Luxury Motors

    Matayo 19:29 : Na kila mtu aliyeacha nyumba au ndugu zake au dada zake au baba au mama au watoto wake au mashamba kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia zaidi nyumba,ndugu,dada,baba,mama,watoto,mashamba na uzima wa milele,pamoja na udhia.
  14. G

    Pictures of Prophet Uebert Angel’s Crib & Luxury Motors

    Kutembea na mungu kunahitaji maamuzi mahusisi,kama wameweza basi waache wale pesa. Mbona yesu aliahidi watakaotumika nae wayapata mali mara mia zaidi hapa duniani,na kusemwasemwa vibaya na wanadamu kama tunavyofanya na pia watapata ufalme wa mbinguni. Ni ahadi kwa yeyote atakayemfuata,sa sa kuna...
Back
Top Bottom