Recent content by Genesilayo

  1. G

    Toyota Succeed vs Toyata Probox

    Hiyo itatua na shida labda alikua anawaza inakula kama pikipiki ,ila ukwel ukisema succeed inakula mafuta siez amini labda iwe na shida
  2. G

    Toyota Succeed vs Toyata Probox

    Waliokua wanaicheka saivi wanadhani prado ni subaru kumbe succeed 13km kwa litre sura isikuogopeshe kuoa we oa eka matunzo
  3. G

    Nataka kununua Toyota succeed, naomba ushauri

    Succeed n gari zuri nimelitumia mwaka wa 3 sasa sijai Jutia wala kufikiri kupak kwa mafuta kupanda
  4. G

    Naomba msaada: tatizo la kuzidi damu mwilini je nifanyeje ili hali yangu irudi kawaida?

    Alikua na maana nzur sana ila kashindwa kueleza kwa ufasaha ,udini hausaidii
  5. G

    Kati ya Nissan Note au Corolla Fielder

    Kwa ushauri wangu Toyota fielder hutajutia na kulingana na mazingira ya hudumu kwa Fielder huduma ziko njenje japo kama pochi nene na maintanaince ya Nissan Note ilivyo na inavyohitaji umakin bado ni gari zuri
Back
Top Bottom