Recent content by General El Sisi

  1. General El Sisi

    Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Well said na wako tayari kuua na wamekuwa wanaua sababu ya madaraka uliza Zanzibar
  2. General El Sisi

    Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    UKAWA ndo washindi wa uchaguzi huu wamefanya yale mambo ya Zanzibar miaka yote mshindi ni Maalim lakini anatangazwa mgombea wa CCM
  3. General El Sisi

    Tatizo sio Magufuli kuwa Rais, ni CCM kupata zaidi ya wabunge 217 out of 264

    CCM si viongozi bali watawala ndo maana wanaiba uchaguzi na Zanzibar kashinda Seif wamekataa matokeo wana akili za kijinga kufikiria wao wanastahili kutawala na sio wengine siku zina kuja na watawala wa mabavu wataondoka
  4. General El Sisi

    Tatizo sio Magufuli kuwa Rais, ni CCM kupata zaidi ya wabunge 217 out of 264

    Ushindwe mwenyewe na akilia za kijinga hakuna amani bila haki unadhania akina Mandela walikuwa wajinga kuingia msituni?
  5. General El Sisi

    CCM Wakishangilia 'Ushindi' Wao

    Kwanini marais wa Afrika hupinduliwa?
  6. General El Sisi

    VOA's Shaka Ssali on Tanzania election

    CCM wameiba uchaguzi hadharani maana si washindi na Tanzania yote iko kimya kana kwamba iko msibani sababu wanajua waliotangazwa si washindi
  7. General El Sisi

    VOA's Shaka Ssali on Tanzania election

    Uchaguzi huu CCM haijashinda isifanye watanzania mafara. UKAWA ndo washindi halali wa urais, tunawapongeza watanzania safari hii hamkutuangusha ila tunasema hakuna amani bila haki
  8. General El Sisi

    Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Sio kosa ni sababu CCM wanajua wameiba uchaguzi hesabu za wakusanyaji wengine hazitaendana na kura fake walizojazia juu. Uchaguzi huu CCM haijashinda ngazi ya Urais bali UKAWA. kwa sababu wameanzisha dhuluma wao wataiona dhahama
  9. General El Sisi

    Hongera rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Wameshindwa hizo data wamepika matokeo ni kama Makoloni ila watanzania walishajua sina uhakika kutakuwa shwari Tanzania kwa miaka hii 5. Nchi iko kinyaa watu wanajua ushindi umeibiwa
  10. General El Sisi

    Hongera rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Huitaji kutoa hongera kwenye ushindi wa kuiba. Safari hii watanzania wamedeliver kwa UKAWA na CCM wamepora ushindi
  11. General El Sisi

    Tatizo sio Magufuli kuwa Rais, ni CCM kupata zaidi ya wabunge 217 out of 264

    Ulikuwa wizi uliopangwa kwa maksudi sababu CCM hawajashinda uchaguzi huu bali wamepora watanzania ushindi wao lakini hakutatawalika keep watching
  12. General El Sisi

    Wananchi wakishangilia ushindi wa Magufuli nje ya ofisi ndogo CCM Lumumba Dar

    Ushindi wa kuiba wala hawana haya. Tunawashukuru watanzania kwa kuupa ushindi upinzani kisha ukaporwa na CCM, kitu kimoja upole usiwatawale maana hakuna amani bila haki. wasiwe CCM wa kwanza kuiba kura kisha kukimbilia kuhubiri amani hiyo ni hadaa. Sasa wamewafungua macho watanzania kujua hawa...
  13. General El Sisi

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Kwa wizi wa kura? Maana ni moja ya wabunge ambao hawajashinda uchaguzi bali wameiba kura kwa kufanya topping njia hiyo hoyo ndo imempa ushindi Magufuli wakati mshindi halali ni Lowassa. Mungu hawezi bariki wezi na msichezee jina lake jiandae Magufuli kufia ikulu na wote walioba kura Mungu si wa...
  14. General El Sisi

    CCM Wakishangilia 'Ushindi' Wao

    Uchaguzi fake kwa ushindi fake maana safari hii watanzania hawajatuangusha wamedeliver kwa upinzani na CCM hawajashinda uchaguzi mshindi ni UKAWA
  15. General El Sisi

    Lowassa: Urais ni mahesabu, lakini alikosea tangu awali

    Lowassa kashinda uchaguzi unaongelea tume ya CCM kubadili matokeo? Nchi iko kimya maana inajua nani kashinda uchaguzi na si Magufuli
Back
Top Bottom