HALAFU NA WEWE UNAMAKELELE KAMA SPIKA MBOVU! NANI HAELEWI KUWA HAYA MAANDAMANO YAMEUNDWA KAMA MAIGIZO! WE KICHWANI MWAKO UNAWAWAZA CHADEMA TUU! MBWA MWITU WA MWAIPOPO NA CHUI WEUSI HUWAJUI? TUMIA AKILI K-MANYOKO!
Hakuna aliekuja kumsikiliza mtu hapa duniani! We fata yako acha kujipa umuhimu kwenye mawazo na maisha ya watu! Ukishakua mtu mzima unajua unachokitaka bila hata kushawishiwa ama kulazimishwa! Save your life first!
Unaumia bure hakuna anaekujua😁😁😁😁 kuwa bize na mambo yako, punguza kuwazia maamuzi ya maisha ya watu! Ukijidanganya kuwa wewe ndio unawaza vizuri kuliko hao wananchi wa mlowo! Na kama umetumia neno "wajinga " kwa kudharau basi wenyewe wanakuona mjinga wa mwisho kabisa!😁😁😁😁
KILA MTU NA LWAKE...
Leo ndio umesema ukweli kuwa tuna raisi mjinga asiejua kitu! Sasa anang'ang'ana nini kuongoza kama uwezo wake ni mdogo kuona yafaayo na yasioyofaa halafu unakuja kumtetea eti alipotezwa na wajuaji!
Kaa pembeni na uchawa wako wee mzee, unajificha kwenye vifasihi vya voice within sijui nini...
Mnara wa babeli!
Walidhani wametukomoa sisi ,kumbe kila mmoja anawaza lake!
Na ndio kwanza safari yao iko mwezi wa 8 tangu wainze! Wameanza kuitana majina mabaya😁😁😁😁👍👍,
Sema Imma nae mroho wa madaraka sana ndio maana alisimamia ule uhuni wa January 2025 bila haya!
Huna unalolijua acha kukurupuka ! Kuna sheria, kanuni na taratibu zinazotumika kama miongozo na sio utashi/ matakwa ya kailima na ma ccm mafisadi! Kama hujui jambo acha kujitia ujuaji! Kasome sheria ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi inasemaje kwanza.
Ifike muda watu muwe na aibu kama vichwa vyenu havina kumbukumbu ni bora kukaa kimya! Alie wazuia chadema kushiriki uchaguzi ni Ramadhani Kailima pale alipokiuka utaratibu wa utiaji wa saini kwaaajili ya maadili ya uchaguzi, hii ilikua ni mwezi 4 mwaka jana yeye akilazimisha vyama vyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.